WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AREJESHA FOMU YA URAIS
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda 
akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania 
Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma 
Juni 30, 2015.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda 
akizunguza na waandishi wa habari  baada ya kurejesha fomu za kuwania 
Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma 
Juni 30, 2015.Wapili kulia ni mkewe Tunu na kulia ni mjukuu, michele.


Post a Comment