MBUNGE JAMES MBATIA, AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KIJIJINI KWAO
| Mbunge James Mbatia akitoa maelezo yake kwa mmoja wa maofisa wa zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kupita mfumo wa BVR. | 
| Mbunge James Mbatia akichukuliwa alama za vidole wakati wa zoezi la uandikishaji katika kijiji cha Kwamare kata ya Kirua Vunjo. | 
| Mh Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu. | 
| Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama. | 
| Afisa uandikisha akimkabidhi Mh Mbatia kitamburisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji. | 
| Mh Mbatia akionesha kitamburisho maalumu kwa ajili ya zoezi la kupiga kura litakalofanyika hapo baadae mwezi oktoba. | 
Post a Comment