Dkt MAGUFULI aanza Ziara ya Mikoa ya Kusini azindua Kiwanda cha Vigae Kilichopo Mkuranga
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Somanga mkoani Lindi wakati akiwa ziarani lkuelekea mikoa ya Kusini(Lindi na Mtwara). |
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Nape Nnauye mara baada ya kuhutubia
wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
|
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi mara baada ya kuhutubia wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi. |






Post a Comment