Header Ads

Wananchi wa Mikoa ya IRINGA na DODOMA Watakiwa Kutumia Fursa ya Barabara Kujiimarisha Kiuchumi

Waziri Wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza Meneja wa wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Iringa Eng.Daniel Kindole wakati wa ukaguzi wa barabara ya Dodoma –Iringa KM 260 ambapo ujenzi wake umekamilika kwa kiwango cha lami.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi.Amina Masenza akitoa taarifa ya hali ya Miundombinu kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati wa ziara ya waziri huyo katika mkoani Iringa.
Waziri Wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa watendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na MawasilianoMkoani Iringa.Kulia  ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Kushoto Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kuanza ziara ya siku nne mkoani Iringa.

No comments

Powered by Blogger.