Header Ads

Guinea Bissau na Ghana zafuzu kwa kombe la Afrika

Guinea Bissau imefuzu kwa kombe la taifa bingwa barani Afrika kwa mara ya kwanza kabisa.
Baada ya kuwashinda Zambia siku Jumamosi, nafasi yao katika kinyanganyiro hicho cha mwaka ujao ilidhihirika wakati Congo-Brazzaville walipoteza kwa mabao mawili kwa moja dhidi ya Kenya.
Ghana ilifaulu kufuzu baada ya kushinda ugenini kwa mabao mawili wa bila dhidi ya Mauritius.

No comments

Powered by Blogger.