Waziri JANUARY MAKAMBA ashiriki Kilele cha Siku ya Mazingira
![]() |
Waziri wa Mazingira January Makamba akifurahia jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida mara baada ya kuwasili viwanja vya Mwembe yanga.
|
![]() |
Wananchi Wakipita Mbele ya Mgeni Rasmi kuonesha zana za Kufanyia Usafi.... |
![]() |
Waziri wa Mazingira January Makamba akihutubia Wananchi waliojitokeza katika kilele cha Siku ya Mazingira katika Viwanja vya Mwembe yanga Jijini Dar es Salamm. |
![]() |
Waziri wa Mazingira January Makamba akionesha Ufundi wa Kuzima Moto, ikiwa ni shamrashamra za Kilele cha Siku ya Mazingira katika Viwanja vya Mwembe yanga Jijini Dar es Salaam. |
Post a Comment