Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA atembelea Hospitali ya BENJAMINI MKAPA mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mashine ya MRI katika hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma wakati alipoitembela  Aprili 9, 2016, Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, , Dkt. Hamis Kigangwala.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Khamis Kigangwala wakikagua mashine ya Mobile Digital xray wakati  walipotembelea hospitali ya Benjamin Mkapa kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma Aprili 9, 2016, Kulia ni Kaimu Mkuu wa Hospitali hiyo Profesa Gesai. 

                                              (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.