Rais Dkt JOHN MAGUFULI na RAILA ODINGA washiriki Ibada ya Jumapili ya Pili ya PASAKA
![]() |
Kikundi
cha Kwaya ya vijana wakiimba katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato
mkoani Geita.
|
![]() |
Dkt.
John Pombe Magufuli akipeana mkono kutakiana amani ya bwana na masista wa
kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
|
![]() |
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti takatifu kutoka kwa Paroko wa Parokia
ya Bikira Maria Chato Padre Henry Mulinganisa.
|
![]() |
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato
mkoani Geita.
|
![]() |
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisali katika kanisa la Bikira Maria Parokia ya
Chato mkoani Geita.
|
![]() |
Waziri
Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwasalimia waumini wa kanisa la Bikira
Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
|
![]() |
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Raila Odinga, Mke wa Raila Bi. Ida Odinga
pamoja na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakishukuru mara baada ya ibada.
|
![]() |
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Raila Odinga wakiagana na waumini wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita. |
![]() |
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sista Maria Theleza Ntihabose wa
kanisa la la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
PICHA NA IKULU
|
Post a Comment