Header Ads

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, RAJAB LUHWAVI azungumza na Makatibu wa Mashina na Kata wa Wilaya ya MUFINDI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akilakaiwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya Iringa Mjini, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi katika mji mdogo wa Mafinga leo April 2, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi, kuzungumza na watumishi wa Chama ili kusikiliza changamoto na kero zinazowakabili. Kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akizungumza na viongozi waandamizi wa CCM katika wilaya ya Mafinga na mkoa wa Iringa, kabla ya kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo, Mafinga  mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisindikizwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo, kwenda ukumbini kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akiingia ukumbini, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Wajumbe wakimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi wakati akiingia ukumbini, kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa,leo Aprili 2, 2016.
Washiriki wa Mkutano wakiwa wameketi ukumbini tayari kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM, (Bara) Rajabu Luhwavi, alipowasili kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Mufindi, Yohanes Kaguo akimkaribsiha Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi(katikati), kuzungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akizungumza na Makatibu wa CCM wa Mashina na Kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa, leo Aprili 2, 2016.
Mshiriki akinukuu, wakati Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa matawi na kata katika wilaya ya Mufindi, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya wilaya hiyo mkoani Iringa leo, Aprili 2, 2016.

(Picha na Bashir Nkoromo)

No comments

Powered by Blogger.