Header Ads

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara RAJAB LUHWAVI azungumza na Watumishi wa CCM mikoa ya NJOMBE na RUVUMA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akiwasili ukumbini na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kwa jina la 'Jah Peole' kuzungumza na viongozi na watumishi wa Chama Cha Mapinduzi kutoka mkoa huo na mkoa wa Rumuma leo mkoani Njombe.

 Baadhi ya viongozi wa CCM kutoka mkoa wa Ruvuma, wakiwa kwenye kikao hicho cha viongozi, watumishi wa CCM na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhwavi kilichofanyika leo mkoani Njombe. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Verena Shumbusho.

 Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.

  Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.

  Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.

 Katibu wa CCM mkoa wa Njombe, Osea Mbagike akifanya utambulisho wa waalikwa kwenye kikao cha viongozi, watumishi wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Njombe na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi (katikati) kilichofanyika leo mjini Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa huo, Deo Sanga.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha Wageni kabla ya kikao chake na viongozi na watumishi wa CCM le katika mkoa wa Njombe,Kushoto ni Mwenyekiti wa mkoa huo Deo Sanga.

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga akifungua kikao cha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rajab Luhwavi na viongozi na watumishi wa Chama wa mkoa huo leo.

 Deo Sanga akimkaribisha  Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi kuzungumza katika kikao hicho.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akimshukuru Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga baada ya kfungua kikao hicho.

 Luhwavi akifuatana na Sanga baada ya kikao hicho kufunguliwa.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akiwa katika picha ya pamoja na Deo Sanga na katibu wa mkoa kabla ya sanga kuondoka baada ya kufungua kikao hicho.

 Wajumbe wakiwa tayari kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi kwenye kikao hicho.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhwavi akizungumza na viongozi na watumishi wa CCM katika kikao chake maalum cha kuzungumza na wafanyakazi wa mkoa wa Njombe kilichofanyika leo mjini Njombe. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Verena Shumbusho na kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Njombe Osea Mbagike.

No comments

Powered by Blogger.