Mbunge wa Jimbo la Bumbuli JANUARY MAKAMBA awahakikishia Ustawi wa Maendeleo yao Wananchi wa Kijiji cha MPUNDA
![]() |
Wananchi wa Kijiji cha Mpunda Kata ya Usambara wakimuonesha Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba eneo ambalo Wakazi hao wamepewa na Kiwanda cha Katani ili wajenge Zahanati ya Kijiji. |
![]() |
Katibu wa Wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyo akizungumza katika Mkutano huo. |
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mpunda baada ya kumalizika kwa Mkutano huo. (Picha na Imani Nsamila) |
Post a Comment