Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Mazungumzo na Wawekezaji wa Sukari Kutoka INDIA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ujumbe wa Wawekezaji kutoka India wanaokusudia kuwekeza katika kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari hapa nchini, Ofisini kwake jijini Dar es salaam machi 23, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Kilimo, Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.