Header Ads

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi HAMAD MASAUNI awasili Mkoani KIGOMA

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(kulia), akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma,Aziz Mutabuzi, mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(katikati),akiongozana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma,RPC Ferdinand Mtui(kulia) na Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma, Dismas Mosha(kushoto).Naibu Waziri amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni,akiweka saini kwenye kitabu cha wageni, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.Katikati ni Mratibu wa Wakimbizi Mkoa wa Kigoma, Tonny Samuel Laizer na kulia ni Kaimu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma,Dismas Mosha.
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma,Saveli Maketta(kushoto), akisalimiana na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni.Naibu Waziri amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.

(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

No comments

Powered by Blogger.