Wahariri wa Vyombo vya Habari vya Kidini Watembelea Kituo cha Afya
| Wahariri wa vyombo vya habari za kidini wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ziara ya kimafunzo mkoani Pwani, ziara hiyo imeandaliwa na TACAIDS. |
| Wahariri wa vyombo vya habari za kidini walipotembelea kituo cha utoaji wa huduma za tiba na ushauri nasaha kwa watu wanaoishi na VVU mkoani Pwani, Wilayani Kibaha. |
Post a Comment