Header Ads

Mfuko wa PSPF wakabidhi Vitambulisho Kwa Wanachama Wake

Meneja wa Mpango wa  uchangiaji wa Hiari PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto akimkabidhi vitambulisho vya wanachama wa Mfuko huo Bi. Lightess Thobia kulia ambaye ni Mkurugenzi wa taasisi ASHATA katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji  kutoka Mfuko wa Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw. Delphine Richard wa pili kutoka kulia akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa taasisi ya ASHATABi. Lightess Thobiakatika hafla ya makabidhiano ya vitambulisho vya wanachama iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji  kutoka Mfuko wa Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelimisha  wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na mfuko huo kwa hiari.

No comments

Powered by Blogger.