Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU apiga Kura Kumchagua Rais wa ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitimiza haki  yake ya kupiga kura katika kituo Namba 11 Shule ya Sekondari Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini Unguja kwa ajili ya Uchaguzi wa marudio unaofanyika leo March 20,2016 Visiwani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari baada ya  kupiga kura katika kituo Namba 11 Shule ya Sekondari Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini Unguja kwa ajili ya Uchaguzi wa marudio unaofanyika leo March 20,2016 Visiwani Zanzibar.

(Picha na OMR)

No comments

Powered by Blogger.