Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,ACP Japhet
Lusingu(kushoto), akitoa taarifa ya hali ya usalama katika mkoa wa Mwanza kwa
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(katikati)
mara baada ya Naibu Waziri kuwasili jijini Mwanza jana akitokea mkoani Kagera
kwa ziara ya kikazi.Kulia ni Mkuu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai mkoa wa
Mwanza,SSP Augustine Senga.
|
Post a Comment