Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU afanya Mazungumzo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Ndugu Amon Mpanju wakati, Naibu Mpanju alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 31, 2016.
(Picha na OMR)

No comments

Powered by Blogger.