Header Ads

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, RAJAB LUHWAVI aanza Ziara Mkoani Mbeya

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi, akiwasalimia baadhi ya viongozi wa CCM wa mkoa baada ya kuwasili kuanza ziara ya kikazi mkoani Mbeya leo asubuhi. Kutoka kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangwi Kundya, Katibu wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Lobe Zongo na Katibu msaidizi Mkuu wa mkoa, Abdallah Mayomba.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwavi akiwa na mwenyeji wake, Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya, Mwangwi Kundya (kushoto), baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani Mbeya.

No comments

Powered by Blogger.