Taswira Kutoka Bungeni Mjini Dodoma Hii Hapa
|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma.
|
|
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.
Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
|
| Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma. |
|
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
|
|
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
|
|
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma.
|
|
Baadhi ya wabunge na Mawaziri wakifuatilia kikao cha
pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Picha na Raymond Mushumbusi
|
Post a Comment