Header Ads

Wabunge Wapatiwa Semina Kuhusu Masuala ya Ukimwi Mjini Dodoma


Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Taifa la wanaoishi na Virusi vya Ukimwi nchini Ndg. Deogratius Rutatwa, akizungumza wakati wa semina ya ukimwi kwa Wabunge wote iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi, Mhe. Stanslaus Nyongo (Katikati) akiongoza semina ya ukimwi kwa Wabunge wote iliyofanyika leo katika ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.