Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ahitimisha Makadirio ya Bajeti ya Ofisi yake

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017.

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri  Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017 .

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.