Header Ads

Dkt MAGUFULI aondoka Dodoma aelekea Mkoani KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma tayari kwa kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akimshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuondoka kuelekea mkoani Kilimanjaro . 

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.