Header Ads

( VIDEO ) Kijana PAUL MWILOMBWA mlemavu wa Viungo anahitaji Msaada


Paul Ibrahim Mwilombwa ni Kijana anayeishi Mkoa wa Geita Wilaya ya Chato, ni mlemavu wa viungo na mwenye kujishughulisha na maswala ya upigaji picha na mambo ya 'Graphic Design'.  

Hapa anaelezea historia yake na kuwaomba msaada watanzania ili apate kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.


No comments

Powered by Blogger.