Nyumba za Magomeni Kota Kukamilika Mwezi Septemba
Mafundi
wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), wakiendelea na ujenzi wa nyumba za
wananchi katika eneo la Magomeni. Nyumba hizo zinatarajiwa kuhudumia kaya 656
zitakapokamilia Septemba mwaka huu.
|

Post a Comment