Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU afungua Mkutano wa Waganga Wakuu Mjini Dodoma

  
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.


Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya  uliofanyika kwenye Chuo Cha Mipango mjini Dodoma.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.