Msimu wa tiGO Fiesta Wahitimishwa Mikoani Kwa Kumalizia Jijini Mbeya
![]() |
Baraka Da Prince akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili. |
![]() |
Benpol katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia ijuma. |
![]() |
JohMakini akitumbuiza katika tamasha la Tamasha la tigo fiesta. |
![]() |
Jux ..... |
![]() |
Wasanii Man Fongo na Shilole wakitoa burudani ya singeli kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku wa jumapili. |
![]() |
Mr blue akitumbuiza umati wawakazi wa Mbeya waliojitokeza katika viwanja vya Forest Mbeya. |
![]() |
Msanii Msami akiwa amemnyanyua mcheza shoo wake stejini kuonyesha uwezo wake wa kumiliki jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku wa jumapili. |
![]() |
Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina wakionesha umahiri wao wa kufokafokakwakupokezana kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usikuwa jumapili. |
![]() |
Mashabiki wakimshangilia Roma Mkatoliki. |
![]() |
Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia burudani toka kwa wasanii waliotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta. |
![]() |
Weusi wakilishambulia jukwaa la Fiesta..... |
Post a Comment