Header Ads

Benki ya Posta yajenga Choo Cha Shilingi Milioni 14 Shule ya Msingi Pande Jijini Tanga

 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Vyoo katika shule ya msingi Pande ambavyo limegharimu kiasi cha sh.milioni 14.5 kushoto ni Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava na kulia ni Afisa Elimu Sayansi Kimu, Rukia Magogo. 


 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses akizundua Jengo jipya la Choo cha Shule ya Msingi Pande ambalo wamelijenga.

 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses pamoja na wageni wengine wakipiga makofi mara baada ya kulizundua jengo hilo.

 Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Umma wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Noves Moses wa tatu kutoka kushoto akionyeshwa choo za zamani ambacho kilibomoka na Afisa Kilimo na Mazingira Jiji la Tanga,Ened Mzava wa tatu kulia wakati alipotembelea eneo hilo.

Choo cha zamani ambacho kilikuwa kinatumiwa na wanafunzi wa shule hiyo ambacho kilianguka.

No comments

Powered by Blogger.