Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Mazungumzo na Askofu Mkuu BEATUS KINYAIYA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya kabala ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Oktoba 27, 2016.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dodoma, Beatus Kinyaiya, Ofisini kwake mjini Dodoma Oktoba 27, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.