Header Ads

Rais MAGUFULI amesema KENYA Ndio Taifa Linaloongoza Kwa Uwekezaji TANZANIA katika Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mbalimbali  wa Kenya mara baada ya kumaliza mazungumzo yao na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.


No comments

Powered by Blogger.