Header Ads

Mfalme MOHAMED VI Kutoka Morocco awasili Tanzania Kwa Ziara ya Siku tatu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, akiwa na mgeni wake Mfalme Mohammed VI kutoka taifa la Morocco, wakipata Gwaride la Heshima, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mfalme huyo amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya Siku tatu, Mfalme huyo amekuja na ujumbe wa watu wanaofikia 1000, mara baada ya kukamilisha ziara hiyo ya siku tatu, mfalme huyo atakuwa na mapumziko ya siku tano ambapo anatarajia kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii hapa nchini.
Sehemu ya Ujumbe ulioongozana na Mfalme Mohammed VI wa Morocco, aliyewasili leo nchini na kulakiwa na Mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli.

Picha kwa Hisani ya Michuzi Blog

No comments

Powered by Blogger.