Header Ads

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaomba Ushirikiano wa Wananchi Utoaji Elimu ya Mpiga Kura



Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi (Nec) inaendelea kutekeleza mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura Kwa Wananchi Ili Kuimarisha Demokrasia Nchini.

Mwenyekiti Wa Tume Hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva Anatoa Wito Kwa Wananchi Kuendelean Kutoa Ushirikiano Wao Kwa Nec Ili Kufanikisha Mkakati Huo.

Kwa Upande Wake Mkurugenzi Wa Uchaguzi Wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Anatoa Wito Kwa Wananchi Ili Kuhakikisha Elimu Ya Mpiga Kura Inamfikia Mlengwa.

Mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura Ni Utekelezaji Wa Kifungu Cha 4 (C) Cha Sheria Ya Uchaguzi Ya Mwaka 1985 Inayoitaka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Kutoa Elimu Hiyo, Kusimamia Na Kuratibu Asasi Na Taasisi Zinazotaka Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura.

No comments

Powered by Blogger.