Header Ads

Kijana ajikuta Matatani Baada ya Kujaribu Kukimbia na Pingu Mahakamani

 Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja, Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba.

 Polisi kanzu akimdhibiti kwa bastola, alipomkamata kijana aliyekimbia na pinngu baada ya kufika katika Mahakama ya Ilala, Kariakoo jijini Dar es Salaam, leo akitokea mahabusu. jina la kijana huyo na kesi inayomkabili havikuweza kupatikana mara moja. Kijana huyo alikamatwa hatua chache katika mtaa wa Lumumba.

 Abiria waliokuwa katika daladala wakishangaa tukio hilo.

 Polisi akimdhibiti kijana huyo wakati akirejeshwa mahakamani baada ya kukamatwa akijaribu kukimbia na pingu.

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments

Powered by Blogger.