Header Ads

IKUNGI half Marathon 2016 yarindima Wilayani Ikungi Mkoani Singida

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akishiriki kutazama washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na Hassan Tati Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi.

Wananchi wakifatilia kwa makini Ikungi Half Marathon katika maeneo yao vijiji vyao.



Washiriki wa Ikungi Half Marathon wakianza kukimbia Riadha katika Kijiji cha Kimbwi.


No comments

Powered by Blogger.