Header Ads

Watanzania Waendelea Kuvutiwa na Banda la PPF Maonesho ya Saba Saba

 Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa PPF, Pauline Msanga, akiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. 

Afisa Michango wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Glory Maboya (kulia) akimhudumia mmoja kati ya wateja waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

 Maafisa Michango wa Mfuko wa PPF, wakiwahudumia wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

 Afisa Michango wa Mfuko wa PPF, Tula Mwigune, akitoa elimu kwa wateja , waliofika katika Banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

 Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru (kushoto) akisaini Kitabu cha Wageni wakati alipowasili kutembelea Banda la Mfuko wa PPF, leo Kulia ni mkewe, Noela Mafuru.

Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru (katikati) Mkurugenzi wa Sheria wa Mfuko wa Pensheni PPF, Vupe Ligate (wa tano kutoka kushoto) Mke wa Msajili, Noela Mafuru (wa tano kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Fedha na Mipango, Benny Mwaipaja, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa PPF nje ya Banda lao kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.

Picha na Mafoto Blog

No comments

Powered by Blogger.