Rais Dkt JOHN MAGUFULI ahutubia Wananchi wa Geita Mjini
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya
wakazi wa Geita mjini mara baada ya kuwasili kutoka Kahama.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
mamia wa wakazi wa Geita mara baada ya kuwahutubia jana.
|
![]() |
Wananchi
wa Geita wakionesha furaha yao wakati Rais Dkt. Magufuli alipokuwa akihutubia
mkutano viwanjani hapo.
PICHA NA IKULU
|
Post a Comment