Header Ads

CHEMI&COTEX kuadhimisha Miaka 25 ya Whitedent kwa Kuwazawadia Gari Wateja wake

​Katika kusherehekea miaka 25 tangu kuanzishwa kwa dawa ya meno ya whitedent, kampuni ya chem&cotex, imeamua kuwazawadia wateja wake kwa kutoa gari itakayo shindaniwa, kwa wateja wake kwa kujaza idadi ya dawa za meno zilizo ndani ya gari hiyo, kampeni imezinduliwa rasmi mkoani morogoro.

 Gari  lililoandaliwa na  kampuni ya chem&cotex  inayotengeneza na kusambaza daw ya meno ya whitedent  ambayo itashindaniwa na watumiaji wa dawa hiyo kwa kubuni idadi ya dawa  zilizondani ya gari hiyo ikiwa ni katika kusherehekea miaka 25 ya  dawa ya whitedent.
Mgeni rasmi katibu tarafa  wa manispaa ya morogoro Pakalapakala Mlenge akiongea na akiongea na wakazi wa morogoro waliojitokeza katika hafla ya kusherehekea miaka 25 ya dawa ya meno ya  whitedent.
 Kikundi cha sanaa cha kikitoa burudani kwa baadhi ya wakazi wa morogor waliojitokeza katika  katika kusherekea miaka 25 toka kuwepo kwa  dawa ya whitedent.
Wanyakazi wa kampuni ya  chem&cotex  inayotengeneza na kusambaza dawa ya meno ya white dent wakiwa katika picha ya pamoja na katibu tarafa manispaa ya morogoro  Pakalapakala Mlengekatika hafla ya kusherekea miaka 25 ya dawa hiyo iliyokwenda sambasa na uzinduzi wa bahati na sibu ya kushinda gari kwa wateja kutaja idadi ya dawa zilizo ndani ya gari hiyo.

No comments

Powered by Blogger.