Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amjulia Hali Spika wa Bunge JOB NDUGAI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai  wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika  jijini Dar es salaam kumsalimia  Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.

(Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments

Powered by Blogger.