Rais Dkt MAGUFULI azungumza na Maofisa wa Jeshi la Polisi Waliopandishwa Vyeo
![]() |
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kedmon Andrew
Mnubi akila kiapo cha Ahadi ya uadilifu
pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi la Polisi Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mwamini Marco
Rwantale akila kiapo cha Ahadi ya uadilifu pamoja na Maafisa
wengine wa Jeshi la Polisi Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ahmada Abdalla Khamis
akisaini hati ya kiapo cha Ahadi ya Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.
|






Post a Comment