Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI akabidhiwa Uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete akimkabidhi moja ya vitendea kazi, Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli baada ua Wajumbe wa mkutano Mkuu wa CCM, kumpitisha asilimia kwa mia ya kura, katika kumchagua leo katika ukumbi wa Dodoma. 
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt Jakaya Kikwete akimpongeza Mwenyekiti mpya wa CCM Rais Dk. John Magufuli baada ya wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM kumchagua kwa kura asilimia mia kwa mia.
Mwenyekiti wa CCM mstaafu Dkt Jakaya Kikwete na Mwenyekiti Mpya wa CCM Rais Dk. John Magufuli wakipunga mkono baada ya Magufuli kutawazwa rasmi kushika nafasi hiyo leo mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akimpongeza Rais Dk John Magufuli baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM lo mjini Dodoma, Katikati ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Rais Mstaafu. 
Mwenyekiti mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akitoa hotuba yake, baada ya kutawazwa kushika nafasi hiyo kwa kupata kuta asilimia mia kwa mia zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.