Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali aapishwa IKULU
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Gerson John Mdemu mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China Luo Zhijun kutoka jimbo la Jiangsu nchini China. |
Post a Comment