Header Ads

CCM yatikisia Wilaya ya KILWA, Mamia Wahudhuria Mkutano wa Hadhara

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi . Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa huo, Ali Mtopa.

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akislimia Wazee Maarufu ambao ni Waasisi wa TANU na baadaye CCM, alipowasili kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi.

 Wananchi wakimshangilia Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipoingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi leo jioni.

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akwafurahia wananchi wlaliokuwa wakimshangilia alipoingia kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi.

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa, wakiwafurahia wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi, leo jioni.

 Vijana wa bodaboda wakiingia kwa mbwembwe za aina yake kwenye mkutano huo.

 Vijana waendesha bajaji wakiingia kwa mbwembwe za aina yake kunogesha mkutano huo.

 Vijana Chipukizi wa CCM wacheza sarakasi wakiingia kwa gari lao kwa mbwembwe za aina yake kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye Vianja vya Mkapa Garden, wilayani Kilwa Masoko mkoani Lindi leo.

 Kijana wa kikundi cha Sarakasi cha Umoja wa Vijana wa CCM akionyesha umahir wake, vijana hao walipocheza sarakasi kabla ya mkutano huo kuhutubiwa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi.

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwafurahia vijana hao wakati wakicheza sarakasi kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi

 Vijana wa Brass Band ya Umoja wa Vijana wa CCM wakiingia kwenye mkutano huo.

 Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo.

 Menyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Kilwa mkoani Lindi akihamasisha wananchi kwenye mkutano huo.


 Kada wa CCM, Mohammed Albadawi ambaye amewahi kuwa kiongozi wa CUF katika ngazi mbalimbali na pia kuwania Ubunge katika jimbo la Mafia katika Uchaguzi Mkuu uliopita, akikichambua chama hicho alipohutubia kwenye mkutano huo leo.

 Vijana wakichangamsha mkutano huo.

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Ali Mtopa akimkaribisha Ole Sendeka kuhutibia mkutano huo.

 Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Lindi Ali Mtopa akiserebuka kidogo jukwaani kabla ya kuwachia Uwanja Ole Sendeka.

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi. 

 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi.  

Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi. 

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments

Powered by Blogger.