Makamu wa Rais SAMIA SULUHU agawa Futari Kwa watu Wenye Mahitaji Maalumu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa
watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar
es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akishiriki dua maalumu wakati wa shughuli ya kukabidhi Futari na Chakula kwa
watu wenye mahitaji maalum katika ofisi za UDA-RT Jangwani jijini Dar
es Salaam, Kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongoza dua hiyo Mussa Salum.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimkabidhi Futari Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Baraza la
Waislam mkoa wa Dar es Salaam Bibi Pili Abdala Mwale wakati wa shughuli
hiyo maalum ya kukabidhi furati na chakula kwa watu wenye mahitaji
maalum, Jangwani jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Baraza la
Waislam mkoa wa Dar es Salaam Bibi Pili Abdala Mwaleakitoa neno la shukrani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya shughuli ya kukabidhi futari na chakula kwa watu wenye mahitaji maalum kukamilika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa ndani ya moja ya mabasi ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi ya UDA-RT jijini Dar es salaam ambayo kwa kiasi kikubwa yamerahisisha usafiri na kutaka wananchi kuyatunza mabasi hayo.
Post a Comment