Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA ahudhuria Sherehe za Kusimikwa Askofu Flavian Kassala
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo la Geita ,
Mhashamu Flavian Kassala katika Ibada ya kusimika Askofu huyo
iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Geita Juni 12, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Maliwa akiwapungia waumini wa Kanisa katoliki jimbo la
Geita baada ya kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu wa jimbo hilo,
Flavian Kassala zilizofanyika mjini Geita Juni 12, 2016. Kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Geita na Mbunge wa Geita Vijijini Joseph
Msukuma.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment