Header Ads

Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka azungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Hicho Mjini Babati

 Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akionyshwa na Katibu wa CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali (kulia), jinsi Jengo la Ofisi ya CCM mkoa huo, lilivyoungua moto hivi karibuni, Sendeka alipokagua jengo hilo, leo Aprili11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
 Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Wilaya za Babati Mjini na Babati Vijijini, katika ukumbi wa CCM mkoawa Manyara, leo Aprili 11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.

(Picha na Bashir Nkoromo).

No comments

Powered by Blogger.