Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa(wa tatu kushoto),
akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Wakimbizi,iliyopo chini ya Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Harrison Mseke (wapili kulia),wakati akielekea
kukagua mabweni wanayolala wakimbizi kutoka Burundi katika kambi ya
Rumasi-Lukole,iliyoko wilayani Ngara,mkoani Kagera,Wa kwanza kushoto ni Naibu
Waziri wa Nishati na Madini,Dk.Medard Kalemani , wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni na wa kwanza kulia ni mwakilishi wa
Shirika la kuhudumia wakimbizi Duniani(UNHCR),Gerald Ndabimala.
|
Post a Comment