Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Ziara Wilaya ya BUSEGA Mkoani SIMIYU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa a Simiyu, Erasto Mbwiro baada ya kuwasili wilayani Busega kuanza ziaraya mkoa huo, Machi 2, 2016.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni baada ya kuwasili wilayani Busega akiwa aktika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 2, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto, Mbwiro. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Busega akiwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Busega akiwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Nyashimo wilayani Busega kabla ya kukagua ujenzi wa wodi ya wazazi  kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi, 2, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Paul Mzindakaya. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua  ujenzi wa wodi ya Wazazi   katika kijiji cha Nyashimo  wilaya ya Busega akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 2, 2016. Kushoto ni Mbunge wa Busega, Dkt, Raphael Chegeni na Kulia nI Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Titus Kamani.

No comments

Powered by Blogger.