Header Ads

Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki Wafanyika Jijini ARUSHA

Wanafunzi walioshinda mashindano ya Insha ya EAC wakipata selfie na viongozi baada ya Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016.
Kijana Simon Sahaya Mollel (18) wa Shule ya Sekondari ya Mzumbe ya mjini Morogoro akionesha dola 1500 alizopewa kama zawadi baaya ya kuibulka mshindi wa kwanza wa kuandika Inshawakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016.
 Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akijiandaa kuweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo Machi 2, 2016.
Rais Paul Kagama wa Rwanda  akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini ya Kanuni za Madili ya Mfuko wa Sekta Binafsi wakati wa Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Mashariki jijini Arusha leo.

No comments

Powered by Blogger.