Header Ads

Hizi Ndizo Sababu za Wanafunzi wa Sekondari ya NAMABENGO kuamua Kuandamana Mkoani RUVUMA

Wanafuzi 106 wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Namabengo wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameandamana kwenda kumwona mkuu wa mkoa Said Mwambungu kumpelekea malalamiko dhidi ya vitendo vya udharirishaji wanavyofanyiwa na makamu mkuu wa shule hiyo Shaibu Champunga. 

Hebu wasikilize kupitia RUVUMA TV on Line.

No comments

Powered by Blogger.