Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA akutana na Mwakilishi wa Biashara wa UINGEREZA

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (katikati) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akiagana  na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.